Mechi ijayo katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni dhidi ya Taraj SC ya Tunisia ambayo nje ya nchi yao inafahamika zaidi kama ...
Awali, Mwanaspoti liliripoti kuwa Ahoua anaondoka Simba kumfuata aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids ambaye ndiye ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Mchezaji wa Simba, Elie Mpanzu (aliyeruka juu) akishangilia baada ya kufunga bao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...
Ligi kuu kandanda ya Tanzania inaendelea hapo Jumamosi 19.10.2024 ambapo vigogo wawili Simba na Yanga wanatarajiwa kuonyeshana makali katika mchezo wa pili kwa timu hiyo kukutana baada ya ule wa ngao ...
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga yameendelea kushika kasi Kuelekea michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnyama Simba atawakaribisha Al Ahly ijumaa ya Machi 29 huku ...
Kwa mujibu wa mfadhili wa klabu hiyo, nyongeza hio ni ya kuwapa motisha zaidi wanapojiandaa katika mechi yao ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Vigogo hao kutoka Mtaa wa ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...